(english version below)
Tangazo
Kwa sababu ya tar 10/4 kuwa Ijumaa kuu na baadhi yetu si ajabu kutaka kwenda kanisani, ule mkutano wa waandishi mahiri wa soma (Teh! Teh!) hautakuwepo.
Badala yake tutaendelea kukutana hapahapa.
Kama kuna mwenye mawazo mengine yoyote (kama ombi maalum la kutaka tukutane siku nyingine wiki ijayo) unaweza acha maoni kwenye blogu au kutuma barua pepe hapa
info.soma@infinet.co.tz
demere.soma@infinet.co.tz
epkalunga@yahoo.co.uk
Asante sana na siku kuu njema...
Announcement
Because Friday 10/4/09 is going to be Good Friday and some of us might wish to go to church in the evening we will therefore not have that meeting of Soma’s amazing writers ;)
Instead we will continue meeting here.
But if someone has a special request (like to want a special session to meet next week just for your work or because you just miss everyone so much) you can just post that on the blog.
Or email :
info.soma@infinet.co.tz
demere.soma@infinet.co.tz
epkalunga@yahoo.co.uk
Thank u so much n happy holiday...
The end.
Monday, April 6, 2009
Subscribe to:
Posts (Atom)